Back to homeWatch Original
Hospitali ya Kapkatet inawasaka jamaa zake kijana wa miaka 17
video
July 11, 2025
about 20 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hospitali ya Kapkatet katika eneobunge la Bureti imetoa wito kwa umma kuisaidia kuwatambua au kuwatafuta jamaa za mvulana mwenye umri wa miaka 17 ambaye amekuwa akipokea matibabu hospitalini humo kwa takriban miezi tisa..