Back to homeWatch Original
Wazazi kutoka Kaunti ya Narok wahimizwa kuwapeleka watoto kwa chanjo
video
July 11, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali kuu imehimiza wakaazi hasa wazazi wanaoishi na watoto wadogo maeneo ya Narok Kaskazini na Kusini kuhakikisha wanapata chanjo dhidi ya magonjwa ya Surua,Homa ya Matumbo na Ukambi..