Familia ya Mutisya yaangazia mishumaa Emali, yataka haki kwa mauaji yake
About this video
Familia ya Garson Mutisya wa umri wa miaka 33 ambaye ni miongoni mwa watu wawili waliopigwa risasi na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya genz Juni 25 mjini Emali kaunti ya Makueni. Ili kumkumbuka mishumaa imeashwa huku jamaa zake wakisema sharti haki itimizwe Subscribe an..