Back to home

Makomishena wapya wa IEBC wakabiliwa na kazi ngumu bila nafasi kupumua

video
July 11, 2025
about 17 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Huku makamishna wapywa wa tume huru ya uchaguzi na mipaka wanaposhika hatamu rasmi baada la kulambishwa kiapo, kikosi hicho kinafahamu vyema kwamba wanamlima mkubwa wa kukwea na huenda wakakosa nafasi hata ya kupumua. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today ..