Baadhi ya viongozi wa kisiasa sasa waanza matamshi ya uchochezi kwa jamii
About this video
Baadhi ya viongozi wa kisiasa sasa wameanza matamshi yanayoonekana kuchochezi jamii, haswa kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Katika kaunti ya Trans Nzoia, spika wa bunge Moses Wetangula alizungumzia haja ya jamii moja kumsaidia rais Ruto dhidi ya wapinzani wake. Na Katika akunt..