Back to home

Maandalizi ya Kipute cha CHAN

video
July 11, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Uwanja wa chuo cha utalii cha kenya umeongezwa kwenye orodha ya kumbi za mazoezi zinazoboreshwa kwa mashindano ya chan yatakayoanza tarehe 1 agosti katika nchi tatu za uganda, tanzania na kenya. Kenya sasa itakuwa na kumbi tano za mazoezi na viwanja viwili vya mashindano ya Chan...