Biwi la simanzi limetanda eneo la Nyansiongo
About this video
Biwi la simanzi limetanda katika eneo la Nyansiongo kaunti ya Nyamira huku familia kadhaa huko Borabu zikiomboleza baada ya watu 8 kuaga dunia katika ajali iliyotokea eneo la Kijauri jana jioni. zaidi ya watu 15 wanaendelea kutibiwa katika hospitali kadhaa huko Nyamira na Kisii...