Umma wahamasishwa kuhusu ugonjwa wa kisukari
About this video
Matembezi ya kuhamasisha umma kuhusu ugonjwa wa kisukari yalifanyika jijini Nairobi kwa lengo la kuchangisha fedha na kuwasaidia watoto wanaoishi na aina ya kwanza ya ugonjwa wa kisukari. Matembezi hayo yaliyodhaminiwa na Citizen Digital kwa ushirikiano na wadau wengine, yaliwash..