Back to home

Wakazi wa kijauri watoa makataa kwa KENHA kuhusu ajali

video
July 14, 2025
3 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi na wafanyabiashara katika eneo la Kijauri huko Borabu, kaunti ya Nyamira, wametoa makataa ya wiki moja kwa mamlaka ya barabara nchini KENHA kuweka matuta katika sehemu hiyo ya barabara kuu ya Kisii-Nairobi, ili kudhibiti ajali za mara kwa mara katika eneo hilo..