Back to homeWatch Original
Walimu wa maeneo kame wadai kupuuzwa
video
July 14, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Walimu wa maeneo kame nchini wamekosoa miungano yao ya KNUT na KUPPET kwa kufeli katika wajibu wa kuwatetea walimu,hasa kwa kufumbia macho masaibu ya walimu wanaohudumu katika maeneo kame nchini. Walimu hao sasa wametishia kuanzisha muungano utakaotetea maslahi ya walimu wa maene..