Back to homeWatch Original
Vijana waonekana kupeleka maandamano mitandaoni
video
July 14, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mitandao ya kijamii wiki hii imefurika picha za akili unde na video za kupinga, kwa ucheshi ama kukejeli amri ya rais William Ruto ya kuwapiga risasi miguuni waandamanaji wanaoleta fujo kwenye maandamano. Hali hii ya kutumia mitandao kisiasa imeshika kasi, haswa baada ya wimbi la..