Serikali ya kaunti yatoa msaada wa karo Makueni
About this video
Serikali ya kaunti ya Makueni hii leo inatoa takribani shilingi milioni 114 kwa wanafunzi elfu 18 wanaotoka jamii masikini ili kusimamia elimu yao. Awali utoaji wa basari za kaunti ulikuwa umesimamishwa na mahakama na kusababisha kucheleweshwa kwa utoaji wa fedha hizo..