Back to homeWatch Original
Vituo vya redio vimeendelea kujumuika na mashabiki B usia
video
July 14, 2025
11 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Vituo vya redio vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services vimezuru maeneo mbalimbali nchini wikendi hii. Muuga FM ilikuwa maeneo ya Meru kwa ibada ya Jumapili, huku Radio Citizen ikifika kaunti ya Busia kwa ibada na shughuli za mauzo..