Back to home

Mgogoro wa shamba la Embolioi: wanachama 300 wakataa uamuzi wa mahakama

video
July 14, 2025
about 13 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanachama 300 wamiliki wa shamba la kijamii la Embolioi lililoko Isinya kaunti ya Kajiado wametofautiana vikali na uamuzi wa mahakama ya Kajiado wa kutoa idhini ya kuendelea kwa ugavi wa ardhi hiyo ya ekari 200 ambayo imekuwa na mzozo wa muda mrefu. Subscribe and watch NTV Kenya..