Back to home

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen azuru viwanja vya CHAN

video
July 14, 2025
2w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen aliongoza timu ya usalama katika ukaguzi wa uwanja wa nyayo na Kasarani kutathmini mahitaji ya usalama kabla ya mashindano ya mataifa ya Afrika, mashindano ya CHAN ambayo yanaanza baada ya wiki mbili...