Back to homeWatch Original
Shida ya korodani Kaunti ya Nyahururu
video
July 15, 2025
about 6 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Madaktari mjini Nyahururu wameelezea wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa visa vya korodani moja kushuka chini au kupotea miongoni mwa watoto wakisema kila wiki kuna kisa kinachoripotiwa..