Kenya miongoni mwa mataifa 9 yatakayo anza kutumia sindano mpya ya HIV
About this video
Wakenya walio kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV huenda wakaanza kupokea shindano mpya ya kudhibiti maambukizi kufikia januari mwakani. Hii ni baada ya shirika la afya ulimwenguni W.H.O kuidhinisha sindano hiyo mpya ambapo kenya ni kati ya mataifa 9 yatakayoanza kuitumia..