Kiambu: Waliokuwa waathirika wa pombe haramu waelezea safari yao baada ya kubadili njia ya kimaisha
About this video
Waliokuwa waathirika wa pombe haramu na dawa za kulevya katika Kaunti ya Kiambu sasa wanaelezea furaha yao baada ya kupona na kurejea katika maisha ya kawaida. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news up..