Mradi wa NiE: Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya ABC Mitaboni waonyesha vipaji vyao tofauti
About this video
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya ABC Mitaboni iliyoko kaunti ya Machakos walipata fursa ya kuonyesha umahiri wao wa talanta ya utangazaji pamoja na sanaa ya uwanamitindo baada ya kutembelewa na baadhi ya wakuu wa (NMG) wakati wa hamasisho la mradi wa (NiE). Subscribe ..