Back to homeWatch Original
Meru: Bwana na bi Festus washeherekea maadhimisho ya miaka 65 pamoja kwa ndoa
video
July 15, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Baada ya kufunga ndoa na kuishi pamoja tangu mwaka wa 1960, bwana na bi Festus hatimaye walisheherekea Maadhimisho ya miaka 65 katika kanisa la katoleki la Irimbene huko Imenti Kusini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyan..