Back to homeWatch Original
Kakamega: zaidi ya wakazi na wafanyabiashara wa soko la Ikolomani wanufaika kwa kupata maji safi
video
July 15, 2025
1mo ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Ni afueni kwa zaidi ya wakazi elfu tano kutoka vijiji vinne, wakiwemo wale wafanyabiashara wa soko la Ikolomani, kaunti ya Kakamega, baada ya serikali kuu kuchimba maji kwenye soko hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Keny..