Back to home

Machakos: Watu walio na ulemavu wataka serikali ya kaunti hiyo kutekeleza sheria ya walemavu

video
July 15, 2025
about 15 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Watu walio na ulemavu kaunti ya Machakos sasa wanataka serikali ya kaunti hiyo kutekeleza kipengee cha sheria cha walemavu yaani Disability Act ili kuwaruhusu kupata baadhi ya huduma za kaunti. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told ..