Back to homeWatch Original
Mahakama yaipa kaunti ya Nairobi idhini ya kuzika miili
video
July 16, 2025
about 14 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali ya kaunti ya Nairobi inanuia kuzika miili yote ambayo haijatambuliwa katika makaburi ya langata wiki hii. Miili 240 ambayo sasa mahakama imeipa kaunti ya nairobi idhini ya kuizika inafanyiwa upasuaji na idara ya dci kuchukua sampuli za dna na kuzihifadhi..