Back to homeWatch Original
Madiwani wa Isiolo walakiwa kishujaa waliorejea tangu kupitisha hoja ya kumng'atua Guyo
video
July 16, 2025
about 15 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Halaiki ya raia walifurika mjini Isiolo kuwalaki wawakilishi wadi wao kishujaa waliorejea mjini humo kwa mara ya kwanza kutoka hapa Nairobi tangu kupitisha hoja ya kumng'atua gavana wa Abdi Guyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as to..