Back to homeWatch Original
Familia za waathiriwa wa maandamano kwenye njia panda
video
July 16, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msururu wa maandamano nchini umeacha majonzi makubwa, na kusababisha vifo vya Wakenya, wengi wao wakiwa wanatoka familia masikini. Kwa familia hizi zilizofiwa, uchungu wa kupoteza wapendwa wao umeongezewa mzigo mkubwa wa kifedha wa kuwazika...