Back to home

Polisi anayeshukiwa kumuua Rex Maasai akanusha yote

video
July 16, 2025
about 4 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Isaiah Murangiri Ndumba, afisa wa polisi ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya Rez Masai aliyepigwa risasi na kuwawa wakati wa maandamano ya mwaka uliopita, amekana kuwepo jijini Nairobi wakati wa maandamano hayo. Hii ni licha ya kanda za video zilizochezwa mahakamani kuonyesh..