| Kilimo Biashara | Ukuzaji wa chakula kwa plastiki bila kutumia mchanga
About this video
Je, umewahi kutamani kulima chakula kwa kutumia nafasi ndogo tu, plastiki, na bila hata kutumia mchanga ardhini? Naam, hilo ndilo anachofanya mkulima mmoja Kaunti ya Kitui. Daniel Karanja ni mpangaji ambaye ameanzisha kilimo kinachojulikana kama Sub-Zero Farming. Kilimo hiki kina..