Back to homeWatch Original
Mama mmoja na wanawe 5 wateketezwa katika moto uliofahamika kuanzishwa kama kisasi cha penzi hatari
video
July 16, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Biwi la simanzi limetanda katika eneo la Bulapesa, kaunti ya Isiolo, baada ya familia moja ya watu watano kuteketea katika moto mkubwa uliofahamika kuanzishwa kama kisasi cha penzi hatari. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ke..