Back to homeWatch Original
Afisa wa kituo cha huduma atoweka Wajir
video
July 17, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wajumbe wa Bunge la Kaunti ya Wajir, wakiongozwa na Spika Abdille Yussuf, wameelezea wasiwasi wao kuhusu kutoweka kwa njia ya kutatanisha kwa Meneja wa kituo cha Huduma mjini humo..