Back to home

Mgonjwa auawa ndani ya wodi KNH

video
July 17, 2025
about 6 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mgonjwa mwingine amefariki ndani ya wodi 7B katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Ripoti za awali zinaashiria kuwa mgonjwa huyo wa umri wa miaka 54 aliuawa akiwa kitandani alikokuwa amelazwa. Eneo hilo sasa limefungwa, maafisa wa DCI wakianza uchunguzi huku harakati za kumtamb..