Back to homeWatch Original
Tana River: Vijana wa jamii ya Watta wahitajika kuua simba au chui ile kupata mke
video
July 17, 2025
about 6 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Katika kitongoji kidogo cha Watta Hamesa, eneo bunge la Galole, Kaunti ya Tana River, utakutana na jamii ya Watta, ambao awali walijulikana kama Wasanye, wakijizatiti kuhifadhi mila zao za kipekee katikati ya mawimbi ya kisasa. Ingawa baadhi ya desturi kama ukeketaji wameziacha, ..