Back to homeWatch Original
Wanaokopa kwenye mitandao wakabiliwa na changamoto
video
July 18, 2025
about 16 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mwaka wa 2022, Benki Kuu ya Kenya iliweka kanuni na mikakati kuhusu mikopo ya kidijitali ili kuboresha huduma kwa wateja. Hata hivyo, wateja bado wanaendelea kukabiliwa na madeni wakielezea changamoto wakati wa kulipa mikopo kutoka kwa kampuni zinazotumia mitandao kutoa mikopo...