Back to homeWatch Original
Mwili mmoja wapatikana kijiji cha Binzaro
video
July 21, 2025
4 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hofu imeibuka kijiji cha Binzaro kaunti ya Kilifi baada ya polisi kupata maiti moja na kuwaokoa watu wanne waliokuwa wamedhoofika kiafya kilomita chache kutoka shakahola. Miongoni mwa waliokamatwa ni mke na mume kutoka siaya waliookolewa mwaka wa 2023 Shakahola lakini wakatoweka ..