Back to homeWatch Original
Gavana Lomorukai ataka uchunguzi kuhusu biashara haramu ya ulanguzi wa watu ufanywe
video
July 21, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai amezitaka asasi za kiusalama kuingilia kati na kuchunguza biashara haramu ya ulanguzi wa watu anayodai inaendeshwa na baadhi ya watu mashuhuri wakiwemo wanasiasa wa humu nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today ..