Back to homeWatch Original
Hospitali 120 zimefungwa na serikali huko Kisii
video
July 21, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wizara ya afya kupitia bodi ya KMPDC imeamrisha kufungwa mara moja kwa hospitali 120 katika kaunti ya Kisii. Hii ni kutokana na ukaguzi uliofichua kuwa hospitali hizo hazikuwa zimefikia viwango vilivyowekwa. Hayo yanajiri wiki chache baada ya oparesheni sawia kufanyika katika kau..