Back to home

Vijana kaunti ya Nandi wahimizwa kujihadhari na matapeli wa ajira

video
July 22, 2025
3 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Katibu Msimamizi wa Maendeleo ya Kazi na Ujuzi kwenye ya Wizara ya Kazi na Ulinzi wa Jamiii Herman Shambi amewataka wakenya wenye ari ya kufanya kazi ughaibuni kutumia mikakati iliyowekwa na serikali ikiwemo ile ya kuthibitisha ajira hiyo katika mitandao ya serikali ili kuzuia vi..