Back to home

Wanafunzi wa chekechea Tana River kufaidika na mpango wa chakula

video
July 22, 2025
about 9 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Ni afueni kwa wanafunzi wa chekechea katika kaunti ya Tana River baada ya serikali ya kaunti hiyo kuzindua mpango wa lishe shuleni ili kuwavutia wanafunzi hao shuleni na kuboresha viwango vya elimu..