Back to homeWatch Original
Matapeli watatu wakamatwa Etago Mugirango Kusini
video
July 22, 2025
about 16 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa polisi eneo la Etago Mugirango Kusini wanawazuilia wanaume watatu waliofumaniwa wakilaghai hospitali moja maeneo hayo kwamba wao ni maafisa wa bodi ya kukagua hospitali nchini KMPDC. Vijana hao walipiga simu kuwaambia wasimamizi wa hospitali hiyo kuwa watakuwa kwa awam..