Back to homeWatch Original
Michezo ya walemavu katika kaunti ya Machakos
video
July 22, 2025
about 16 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Machakos sasa wanalenga kufufua michezo ya walemavu katika kaunti hiyo...Hii ni baada ya kuanzisha mchakato wa kuchangisha pesa za kununua vifaa vya michezo ya walemavu..