Back to homeWatch Original
Msafara wa M-Pesa Sokoni wawasisimua wakazi mlimani
video
July 22, 2025
about 17 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni umezidi kuwasisimua wakazi wa eneo la Mlima Kenya, huku Safaricom ikiungana na wateja wake kusherehekea miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Kampuni ya Royal Media Services imeshirikiana na Safaricom kusambaza ujumbe huo mashinani kupitia msafara wa MPESA S..