Back to home

Wajane wa Kakamega waanza kupata haki ya kumiliki ardhi

video
July 22, 2025
about 15 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Ni afueni kwa wajane ambao wamekuwa wakinyimwa haki za kurithi na kumiliki ardhi huko Kakamega baada ya waume wao kufariki. Shirika moja la kutetea haki za wanawake kaunti hiyo lijukikanalo kama Shibuye community imezindua mbinu za kutatua na kuwaokoa wajane hao Subscribe and ..