Back to home

Molo: Wakili akamatwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu

video
July 22, 2025
about 15 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kizaazaa kilishuhudiwa nje ya kituo cha polisi cha Molo baada ya wakili mmoja aliyehudumu Katika ikulu kufikishwa Katika afisi za DCI mjini Molo Kwa tuhuma za uchochezi dhidi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika shamba la shule ya msingi ya Michinda. Subscribe and watch NTV K..