Back to home

Upasuaji wa Susan Njoki wabaini alinyongwa

video
July 22, 2025
3 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Matokeo ya upasuaji wa maiti ya Susan Njoki aliyepatikana akiwa amefariki katika hospitali ya Chiromo imedhibitisha alinyongwa. Kulingana na madaktari wa upasuaji Njoki alifariki siku moja baada ya kuchukuliwa kutoka nyumbani kwake na maafisa wa hospitali ya Chiromo...