Back to home

Kesses: Jinsi mama Mercy anavyojikimu kimaisha kwa kufanya biashara ya kuuza makaa

video
July 22, 2025
about 15 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Katika mtaa wa Kesses mjini Eldoret, moshi wa matumaini hupaa kila asubuhi kutoka kwa mkaa wa mama mmoja jasiri. Mercy, mfanyabiashara wa makaa, alianza na mtaji mdogo. Leo, anajikimu, anasaidia wengine, na anatoa somo kuwa biashara ndogo ikifanywa kwa bidii inaweza kubadilisha..