Back to homeWatch Original
Wagonjwa wa saratani walalamikia kuhangaishwa na bima ya SHA
video
July 22, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Kwa kipindi cha miezi minne sasa, Mzee Gatamu Waigwa, wa umri wa miaka 70 anayegua saratani ya tezi dume ambayo imefika kiwango cha tatu, amekuwa akiamka saa 10 asubuhi kuabiri matatu kutoka Nyeri hadi Nairobi, kupiga kambi kwenye afisi za Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) kusaka hu..