Back to homeWatch Original
Wapelelezi wahoji wahudumu wa Chiromo Braeside kufuatia kifo cha Susan Njoki
video
July 23, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maafisa wa upelelezi wanaochunguza mauaji ya Susan Njoki katika hospitali ya Chiromo, Braeside, wameanzisha msako wa mfanyikazi mmoja wa hospitali hiyo aliyetoweka baada ya njoki kupatikana akiwa amefariki. maafisa hao walipiga kambi katika hospitali hiyo leo, wakiwahoji wafanyik..