Back to home

Gachagua asema amechanganyikiwa na ameshindwa na Kazi

video
July 23, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali matamshi ya Rais William ruto ambaye anawalaumu wazazi, makanisa, mashirika ya kijamii na wanasiasa kwa kuchochea maandamano ya kupinga serikali. Gachagua anadai kuwa Rais Ruto amechanganyikiwa kuhusu yanayoendelea nchini. A..