Back to homeWatch Original
Mahakama ya Wang'uru yapunguza dhamana kwa washukiwa wa wizi wa maandamano
video
July 23, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mahakama ya Wanguru hii leo imewapunguzia dhamana washukiwa kumi walioshtakiwa kwa makosa ya njama ya kushiriki wizi wakati wa maandamano, baada ya kumi hao kushindwa kulipa shilingi elfu hamsini kila mmoja. Wakati uo huo watu wengine watatu waliokabiliwa na mashtaka sawia kaunti..