Back to homeWatch Original
Zogo la ardhi Trans Nzoia
video
July 24, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mzozo unaendelea kutokota baina ya serikali ya kaunti ya Trans Nzoia na familia inayodai kumiliki kipande cha ardhi ambacho kinapakana na makao makuu mapya ya ofisi za kaunti hiyo mjini Kitale..