Back to homeWatch Original
Utoaji wa vitambulisho Turkana
video
July 25, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kaunti ya Turkana itashirikiana na serikali ya kitaifa kuhakikisha inawapa wakazi wa kaunti hiyo vitambulisho ikilenga zaidi ya watu laki nne ambao hawana vitambulisho wengi wao wakiishi sehemu za mashinani..